Posti ya kwanza kutoka kwangu palimpo Nyakisende na angalia vile vichcho kwendo Charles Nyangiti

Mimi niko linkedin kwa dunia na hivyo ndivyo itakuwa milele Charles Nyangiti linkedin habari leo:

Habari kamili:

Mahakama ya Umoja wa Mataifa kuhusu mauaji ya Rwanda, imemhukumu mmoja wa washukiwa wa mauaji ya Kimbari nchini Rwanda kifungo cha miaka 35 gerezani.
Hukumu hiyo imetolewa dhidi ya Augustin Ngirabatware, ambaye alikuwa waziri katika serikali ya zamani ya Rwanda.
Ngirabatware ndiye mtu wa mwisho kufunguliwa mashtaka katika mahakama ya Kimataifa kuhusu mauaji ya Rwanda ICTR, ambayo kuanzia hi leo itaanza kusikiliza kesi za rufaa.
kutoka Charles Nyangiti
(pia tumbakoa facebook, linkedin na viliopo vindo wengi sana duniani)