Uganda imemrejesha nchini Uingereza mtunzi
wa mchezo wa kuigiza kuhusu wapenzi wa jinsia moja ambao ulimeletea
masaibu hata akakamatwa na kushtakiwa na polisi.
David Cecil alikamatwa kwanza mnamo mwezi Septemba kwa kuonyesha mchezo huo wa kuigiza bila ya idhini kutoka serikali ya Uganda.Alikamatwa kwa mara nyingine wiki jana huku serikali ikiandaa mipango ya kumrejesha Uingereza, kwa misingi ya kuwa mtovu wa nidhamu. - kutoka Charles Nyangiti