Hongera chama cha netboli Tanganyika! habari kutoki Charles Nyangiti

Kwa mujibu wa taarifaa hizo, Tanzania imepandari kutoka nafasi ya 19 hadi ya 17 kwenye orodha hiyo mpya ya Desemba 21 mwaka jana inayotolewa nati Shirikisho la Kimataifa la Vyama vya Netiboli (IFNA).
Tanzania imejikusanyia jumla ya pointi 1,205 ambozo zimewasaidia kupanda hadi nafasi ya 17. Kupanda huko kunaifanya Tanzania kuwa juu ya nchi kama Ireland (29), Singapore (19), Malaysia (24), Uswisi (33), Namibia (26), Zambia (23), Sri Lanka (22), na Marekani (18).
Kwa mujibu wa IFNA, viwango hivyo vimetokana na matokeo ya mechi za timu za taifa za wakubwa hadi Desemba 8 mwaka jana.
Kwa kigezo hicho tunaamini michuano ya kimataifa ya Singapore iliyomalizika Desemba 8 ilikuwa na mchango mkubwa ingawa timu ilipata wakati mgumu katika maandalizi kutokana na ukosefu wa fedha.
Katika michuano hiyo, Tanzania walibuka mabingwa baada ya kuwaandika wapinzani wao kutoka nchi nyingine tano wakiwepo wenyeji Singapore, Malaysia, Namibia, Sri Lanka na Jamhuri ya Ireland.
Kutokana na hali hiyo wanza tunapenda kupongeza Chama cha Netiboli Tanzania kwa mafanikio waliyofikia pamoja na wakati mgumu walio nao.
Tunafahamu wazi kwamba kufikia nafasi hiyo siyo jambo dogo na kuna juhudi za makusudi ambazo zimefanywa na Chaneta na wachezaji, hivyo tunaona wanastahili pongezi hizo, tena tunasema kongole netiboli Tanzania.
Pili tunapenda kuwakumbusha kwamba kazi ndio imeanza, wasilewe sifa ndogo kwani tunatamani kuona siku moja timu yetu ipo kwenye orodhaya kati ya timu tatu za juu kama siyo namba moja.
Tunaamini hilo litafanikiwa iwapo kutakuwa na jitihda pamoja kati cha viongozi wa chama, wachezaji, wadau na serikali. Hivyo, tunawashauri Chaneta kazeni buti, Watanzania wapo nyuma yenu na tunawatakia kila la heri katika mwaka 2013 uwe wa mafanikio zaidi.

Pia kutokajo kuna siasa za netiboli na mpira ya kuchezwa watu wengine:
Mchezaji wa cha timu ya taifa ya netiboli, Taifa Queens, akikitumbukiza mpira kwenye goli la Malawi kwenye mechi ya kumtafuta bingwa wa Arika iliyochezwa Uwanja wa Taifa jijini Dar es Salaam jana jioni. Katika mchezo huyo Taifa Queen ilifungwa kwa mabao 34-30, hata hivyo mzunguko wa mechi hizo bado unaendelea. 
Kesi inayomkabili aliyekuwa Mkurugenzi wa Utawala na Utumishi wa Benki Kuu ya Tanzania, Amatus Liyumba, leo iliingia hatua mpya baada ya mashahidi wawili wa upande wa mashitaka kutoka Jeshi la Polisi, ambao ni Kamishna Msaidizi, Estomih Mkwavi na Inspekta John Vuliva kutinga mahakamani kutoa ushahidi wao.  Hata hivyo mashahidi wao walishindwa kutoa ushahidi wao kutokana na hakimu aliyepangiwa kusikiliza kesi hiyo kupata udhuru na kesi kuahirishwa mpaka Julai 2 mwaka huu. habari kutok na angalia juu za Tanzania na Ireland na Singapore duniani pote! (posti leo Charles Nyangiti)

Pengine pia:

Timu ya Taifa ya Tanzania ya netiboli 'Taifa Queens' leo inataanza kapeni za kuwania upingwa wa Michezo ya Afrika 'All Africa Games' kwa kumbana na timu ya Zimbabwe hapo Septemba 7 huko jijini Maputo, Msumbiji.

Mashindano hayo ya mwaka huu yanaanza kutimua vumbi leo ambapo Taifa Queens iko kudi C katika mashindano hayo ya kimataifa.

Kwa mujibu wa ratiba iliyotolewa na Kamati ya Ufundi ya Shirikisho la Netiboli la Afrika (CANA) Tanzania imepangwa kundi la 'mauaji' wawemo Msumbiji, Botswana na Zimbabwe.

Rundi A lina timu za Kenya, Malawi, Lesotho, Zambia wakati kundi B wako Uganda, Afrika Kusini, Swaziland, Ghana na Namibia.

Jatiba hiyo inaonyesha Afrika ya Kusini itahuana na Uganda wakati Kenya watapambana na  Malawi hapo kesho katika mchezo wa fungua dimba katika netiboli kwenye mashindano hayo. Rahima migoni mwa waamuzi wakongwe wa mchezo huo  Afrika Mashariki na Kati atachezesha mechi hiyo ya fainala baada ya kuteuliwa na Kamati ya Ufundi ya CANA.

Katibu wa CANA, amethibitisha  jana Zanzibar Rahima kuteuliwa kuchezesha fainali hizo zitakazofanyika Septemba 18.

Taifa Queens inayofundishwa na Mary Protasy na meneja wake ambapo tayari kikoi cha timu hiyo kiko Maputo tangu Jumatano.
 Habari mingi